Translate

Thursday, May 10, 2012

WAHUJAJI WAKISALI KWENYE SHRINE MT.ANDREW KAGWA

Wahujaji wanamaobi wakisali sala binafsi kwenye shrine Mt,andrew Kagawa

SHRINE YA MT.ANDREW KAGWA

Hii ndio shrine ya Mt.Andrew Kagwa

WAHUJAJI WATEMBEAA KUELEKEA SHRINE YA MT.ANDREW KAGWA

Wahujaji watembea kutoka shrine ya Mt.Dennis kwenda shrine ya Andrew Kagwa,ni mwendo wa dakika 10

MAOMBI BINAFSI KWA MT.DENNIS

Wahujaji wakisali na kutoa maombi binafsi kwa Mt.Dennis Sebugwawo

WAHUJAJI WAKISALI

Wanamaombi wakisali katka shrine ya Mt.Dennis

BARAKA YA PADRI KWA WAHUJAJI

Baba Padri alishiriki hija akitoa baraka kwa wahujaji baada ya sala ya mwisho

Mtumishi wa Mungu akisali

Mtumishi wa Mungu na baadhi ya wanamaombi wamewpiga magoti wakisali katika shrine ya Mt.Dennis Sebugwawo 

MAELEZO YA SHRINE MT.DENNIS SEBUGWAWO

Haya ndiyo maelezo juu SHRINE YA MT.DENNIS SEBUGWAWO

SHRINE YA MT.DENNIS SEBUGWAWO

Hii ndio shrine ya Mt.dennis Sebugwawo
Wanamaombi wakisali kwenye shrine ya Mt.Dennis Sebugwao

Tuesday, May 8, 2012

WANAMAOMBI WAKISALI-SHRINE YA PONSIAN GONDWE

Wanamaombi pamoja Mtumishi wa Mungu wakisali katika shrine ya Mt.Ponsian Gondwe

Shrine ya Mt.Ponsian Gondwe-Namugongo,Uganda.

Hii ni mmojapo ya shrine ambapo watakatifu mashaida wa Uganda waliuwawa,kama inavyoonekana kwenye picha aliyeuwawa hapa ni Mt.Ponsian Gondwe tarehe 26-5-1886.Waliozunguka ni Wanamaombi kutoka Tanzania  wakisali

Kwaya ya Mt.Sesilia-Namugong 2011

Kwaya ya Mt.Cesilia (MFHC) na baadhi ya wanamaombi pamoja Watendakazi katika picha ya pamoja eneo la Basilika ya Namugongo baada ya Misa ya kuombea mchakato wa Mtumishi wa Mungu J.K.Nyerere 01-06-2011.


Friday, May 4, 2012

Marian Faith Healing Center

Hiki ni kitu cha huduma za maombezi kilichopo Riverside,Ubungo Dar es Salaam